Madhari ya mji wa Bukoba eneo la Stendi Kuu ya Mabasi ya ndani na nje ya Mji wa Bukoba, ni kama inavyoonekana ikiwa haina mabadiliko wala kufanyiwa marekebisho yanayoendana na hali halisi ya Kiteknolojia ya sasa. Stendi hiyo imekuwa ni kongwe na ya muda mrefu ambayo imekuwa ni mchanganyika wa daladala zinazofanya safari zake ndani ya mji huo pamoja na mabasi yaendayo mikoani. Halmashauri ya Jiji na wahusika mpo??????
TANZANIA YAUNGA MKONO UENDELEVU WA BONDE LA NILE
-
TANZANIA YAUNGA MKONO UENDELEVU WA BONDE LA NILE
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imethibitisha kuendelea
kulisaidia Bonde la Mto Nile, i...
47 minutes ago

No comments:
Post a Comment