Cazorla Dakika ya 90+ ameipatia timu yake bao la kufutia machozi na kufanya mchezo huo kati ya Man U na Arsenal, kumalizika huku Man U wakiibuka na ushindi wa mabao 2-1. Alikuwa ni Van Parsie aliyeanza kufungua nyavu za arsenal katika dakika za mwanzo na Evra kutupia la pili kipindi cha pili.
SERIKALI YAWAASA VIJANA KUTUMIA FURSA ZINAZOPATIKANA KUTOKANA NA MABADILIKO
YA TEKNOLOJIA YA HABARI NA MAWASILIANO
-
Na. Ramadhani Kissimba, WF – Dar es Salaam
Serikali imewataka vijana wanaohitimu masomo katika vyuo mbalimbali nchini
kutumia fursa zinazopatikana kutoka...
1 hour ago

No comments:
Post a Comment