Wasanii wa Bongo Movie wakibeba jeneza lenye mwili wa msanii mwenzao, John Maganga, wakati wa kuaga mwili wa msanii huyo, Mwananyamala, Dar es Salaam. Maganga amefariki dunia Jumamosi ya wiki iliyopita, katika hospitali ya Muhimbili, jijini Dar es Salaam, baada ya kuugua ghafla. John amezikwa leo katika Makaburi ya Kinondoni.
TCAA YAPIGA HATUA KUBORESHA USIMAMIZI WA USALAMA WA ANGA
-
*Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Dkt. Jabiri
K. Bakari akizungumza wakati wa kikao cha kuhitimisha ujumbe wa timu
wataalam...
3 hours ago
No comments:
Post a Comment