VIRGINIA MOKIRI, ni mshiriki No, 1 akitokea Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) na akiwakilisha Elimu ya Juu.
EUGENE
FABIAN, Mbio za kusaka taji la Miss Tanzania amezianzia Mkoani Mara na
baadaye kutwaa taji la Kanda ya Ziwa na katika Kambi ya Miss tanzania ni mshiriki No, 21.
BABYLOVE KALALA, ni mshiriki No, 9 akitokea mkoa wa Kagera, akiwakilisha Kanda ya Ziwa.
BRIGITTE ALFRED ni Mshiriki NO, 26 akitokea Kitongoji cha Sinza na anawakilisha Kanda ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
ANANDE RAPHAEL, ni mshiriki NO, 11 akitokea Mkoa wa Kilimanjaro akiwakilisha Kanda ya Kaskazini.
CAREEN ELIAS, mshiriki NO. 23 anatokea Mbeya anawakilisha Nyanda za Juu Kusini.
CATHERINE MASUMBIGANA, ni mshiriki No, 15 akitokea Kitongoji cha Chang'ombe anawakilisha kanda uya Temeke jijini Dar es Salaam.
DIANA
HUSSEIN, mshiriki No, 20 akitokea kitongoji cha Dar
Indian Ocean, akiiwakilisha Kanda ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
FINA REVOCATUS, mshiriki No, 12 akitoka Chuo cha Usimamizi wa Fedha IFM, akiwakilisha Kanda ya Vyuo Vya Elimu ya Juu.
BELINDA MBOGO, ni mshiriki na 29 akitoka mkoa wa Dodoma akiwaklilisha Kanda ya Kati.
EDDA SYLVESTER, mshiriki No, 22 akitoka Kigamboni na anaiwakilisha Kanda ya Temeke jijini Dar es Salaam.
ELIZABETH DIAMOND, mshiriki No, 2 akitokea mkoa wa Singida, akiwakilisha Kanda ya Kati.
FATMA RAMADHANI, mshiriki No, 25 akitoka chuo cha Uandishi wa habari Arusha ASJ, anawakilisha Kanda ya Elimu ya Juu.
FLAVIAN MAEDA, mshiriki No 10, akitokea kitongoji cha Kurasini mwakilishi wa kanda ya Temeke jijini Dar es Salaam.
HAPPINESS RWEYEMAMU, mshiriki No 8 Kutoka Kahama- Shinyanga anawakilisha Kanda ya Ziwa.
HAPPYNESS DANIEL, mshiriki No, 19 akiwakilisha Kanda ya Ziwa.
IRINE VEDA, anatokea Lindi, mshiriki No, 16 akiiwakilisha Kanda ya Mashariki.
JESCA HAULE, ni mshiriki No, 14 akitoka kitongoji cha Chang'ombe anawakilisha Kanda ya Temeke jijini Dar es Salaam.
JOYCE BALUHI, mshiriki No, 13 anatoka Mji kasoro Bahari-Morogoro anawakilisha Kanda ya Mashariki.
KUDRA LUPATO, mshiriki No, 24 akitokea kitongoji cha Dar Indian Ocean, akiiwakilisha Kanda ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
LIGHTNESS MICHAEL, mshiriki No, 5 akitokea Dodoma akiwakilisha Kanda ya Kati.
LUCY STEPHANO, mshiriki No, 4 Kutoka mkoa wa Manyara, akiwakilisha Kanda ya Kaskazini.
MAGDALENA ROY, mshiriki No, 6 kutoka Kitongoji cha Dar City Centre akiwakilisha Kanda ya Ilala.
MARRY CHIZI, anatokea kitongoji cha Ukonga, mshiriki No, 17 akiwakilisha Kanda ya Ilala jijini Dar es Salaam.
MAGDALENA ROY, mshiriki No, 18 kutoka mkoa wa Iringa akiwakilisha Kanda ya Nyanda za Juu Kusini.
NOELA MICHAEL, mshiriki No, 27 anashikilia taji la kitongoji cha Tabata na ni mwakilishi tegemeo wa Kanda ya Ilala.
ROSE LUCAS, mshiriki No. 28 akitokea Mkoa wa Pwani akiwakilisha Kanda ya Mashariki.
VENCY EDWARD, mshiriki N0, 7 akitoka Mkoa wa Rukwa akiiwakilisha Kanda ya Nyanda za Juu Kusini.
WARID FRANK, mshiriki namba 30 akitokea Arusha anawakilisha Kanda ya Kaskazini.
ZUWENA NASIB, mwakilishi pekee wa chuo Kikuu Huria OUT.
No comments:
Post a Comment