Habari za Punde

*TAIFA STARS WAJIFUA CCM KIRUMBA KUJIANDAA KUWAKABILI HARAMBEE STARS YA KENYA


 Kipa wa timu ya Taifa Stars, Juma Kaseja, akiwa katika mazoezi ya kujiandaa na mchezo dhidi ya Harambee Stars ya Kenya, akiwa na kikosi kizima cha Taifa Stas katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, leo. Mchezo huo unatarajia kuchezwa kesho katika Uwanja huo.
  Kocha wa timu ya Taifa Stars, Kim Poulsen akizungumza na wachezaji.
  Wachezaji wa timu ya Taifa Stars, Athuman Idd 'Chuji' (kulia) naMwinyi Kazimoto, wakiwaelekeza wachezaji wenzao staili mpya ya kushangilia wakati wa mazoezi katika Uwanja wa Kirumba jijini Mwanza.
  Thomas Ulimwengu (kushoto) akimfunga, Juma Kaseja wakati wa mazoezi hayo.
  Kocha wa timu ya Taifa Stars, Kim Poulsen akizungumza na wachezaji, Mbwana Samata (kulia) na Thomas Ulimwengu wakati wa mazoezi  hayo.
Mchezaji wa timu ya Taifa Stars, Thomas Ulimwengu (kushoto) akijaribu kumhadaa, Simon Msuva, wakati wa mazoezi hayo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.