Habari za Punde

*UMOJA WA WATZ WA NEW YORK KUMKARIBISHA BALOZI MNAONGI NA NAIBU MWAKILISHI BALOZI MWINYI


Uongozi wa Jumuiya ya Watanzania New York na Vitongoji vyake, NYTC (Board na Executive Committee), wanafurahi kuwaalika Watanzania wote wanaoishi New York na Vitongoji vyake, kwenye sherehe ya kuwakaribisha Balozi Manongi na Naibu Mwakilishi wake Balozi Mwinyi, viongozi wapya wa Uwakilishiwa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa New York, pia kumshukuru Dr. Seruhere aliyekuwa Naibu Mwakilishi  Balozi wa muda na Mlezi wa NYTC.
Sherehe hii itafanyika Jumamosi, tarehe 1 December kuanzia saa 04:30pm hadi 9:30pm usiku kwenye ukumbi wa:

Holy Trinity Greek Orthodox Church
10 Mill Road
New Rochelle, NY 10804
Wotemnakaribishwa.
Tunaombamchangowadola 25 kutokakwakilamtu,nawanafunzidola 10 kwaajiliyagharamayashughulinzima. Huumchangoupelekwekwawafuataokablayaterehe 20 November 2012, Receiptszamchangozitatolewa.
Miriam Abu  (914) 316-2814
AmirKius  (201) 450-5129
CatherineKyauka  (201) 562-2890
ShabaniMseba (347( 712-8539
 
Tunatangulizashukranizetuzadhati.
Uongoziwa NYTC.
Shabani Mseba
The Secretary  i.e

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.