TIMU ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, leo imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Harambee Stars, ya Kenya katika mchezo wa kirafiki wa Kimataifa uliomalizika hivi punde katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza. Bao la Stars, limefungwa mapema tu katika dakika ya 5 na sekunde kadhaa kipindi cha kwanza na Agrey Moris, na kufanya timu hizo zikienda mapumziko Stars ikiwa mbele matokeo yaliyodumu hadi kumalizika kwa mchezo huo.
STANDARD CHARTERED YAONGOZA TUKIO LA UPANDAJI MITI BAGAMOYO.
-
Kama sehemu ya dhamira yake ya kukuza uendelevu wa mazingira na uhifadhi
wa mazingira, Standard Chartered Tanzania imeongoza shughuli ya upandaji
miti k...
1 hour ago

No comments:
Post a Comment