Habari za Punde

*YALIYOJILI MAZISHI YA SHARO MILIONEA JANA


 Waombolezaji wakaimsaidia mwenzao aliyepoteza fahamu wakati wa shughuli za msiba huo zilizofanyika nyumbani kwa wazazi wa marehemu Sharo Milionea, jana Muheza mkoani Tanga, ambapo watu kadhaa wameripotiwa kupoteza fahamu kwa mshituko.
 Baadhi ya vijana walioshindwa kusogea karibu na kaburi la Kipenzi chao Sharo Milonea, wakati wa maziko kutokana na umati mkubwa wa watu walioshiriki mazishi hayo, jana, wakikwea Minazi ili kushuhudia kile kilichokuwa kikiendelea wakati marehemu akihifadhiwa katika nyumba yake ya milele.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.