Habari za Punde

*RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN AREJEA NCHINI KUTOKA VIETNAM

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akivalishwa Shada la mauwa alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume wa Zanzibar,akirejea Nchini jana akitoka katika ziara ya Kiserikali nchini Vietnam.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi,wakati wa mapokezi alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume wa Zanzibar,akirejea Nchini kutoka katika ziara ya Kiserikali nchini Vietnam. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.