Sarita, akiwa anawakaribisha rafiki zake waliohudhuria katika hafla fupi ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake, hafla hiyo ilifanyika nyumbani Kwao Kijitonyama jijini Dar ea Salaam jana.
Sarita Swaleh, akikata keki tayari kuwalisha baadhi ya marafiki waliohudhuria hafla hiyo iliyofanyika nyumbani kwao Kijitonyama.
Akimimina Shampeni tayari kwa kuwapa rafiki zake kipenzi waliohudhuria hafla fupi ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake.
Sarita, akimlisha Keki mmoja wa Wadogo zake.
Sarita, akimlisha Keki Mmoja wa Rafiki zake waliohudhuria hafla hiyo ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake hapo jana.
Muda wa Maakuli sasa kila Kitu kilikuwa ni full Kujisevia.
Keki kwa Shampeni ikiwa ndani ya eneo la tukio hapo jana usiku wakati wa sherehe ya kumbukumbu ya kuzaliwa Mdau Sarita Swalehe.
Hapo Vinywaji kwanza vikitembea
Baadhi ya marafiki waliohudhuria hafla hiyo jana usiku iliyofanyika nyumbani kwao Kijitonyama.
Sarita Swaleh, akiwa katika Picha ya Pamoja na baadhi ya rafiki zake waliohudhuria hafla hiyo iliyofanyika Jana nyumbani kwao.
No comments:
Post a Comment