Mwandishi wa Habari za michezo Mwandamizi wa Gazeti la Jambo Leo, na mchezaji wa timu ya TASWA Fc, Julius Kihampa, akimvisha pete ya ndoa Mke wake Grace Kingarame, ambaye pia ni Mtangazaji wa Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC), wakati wa ibada ya Ndoa yao iliyofanyika kwenye Kanisa la Anglikana la St Albano jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita.
UKWELI KUHUSU TUME ZA KIJAJI: NI USHAHIDI WA KIHISTORIA UNAOWASHAWISHI
MARAIS KUCHUKUA HATUA KALI ZA KUBADILI MAMBO
-
Uundaji wa Tume za Kijaji nchini Tanzania umekuwa chombo muhimu na
madhubuti cha kisheria kinachotumiwa na Wakuu wa Nchi pale kunapojitokeza
malalamiko ...
4 hours ago
No comments:
Post a Comment