Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na mkewe Mama Asha Bilal, wakiwa katika picha ya pamoja na Watanzania 3 kati ya saba tu (wawili kushoto na mmoja kulia) wanaoishi nchini Mexico, baada ya kukutana nao na kufanya mazungumzo, wakati akiwa nchini humo hivi karibuni. Nchi hiyo inawatanzania saba wanaoishi nchini humo na kufanya shughuli zao, ambapo hadi sasa wamebakia watanzania 3 baada ya wanne kujisapia kusikojulikana na wenzao hao.
TANZANIA YAUNGA MKONO UENDELEVU WA BONDE LA NILE
-
TANZANIA YAUNGA MKONO UENDELEVU WA BONDE LA NILE
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imethibitisha kuendelea
kulisaidia Bonde la Mto Nile, i...
4 hours ago

No comments:
Post a Comment