KATIBU wa NEC, Oganaizesheni Dk. Muhamed Seif Khatib (kushoto) akitiliana saini wakati alipokuwa akikabidhiwa ofisi na aliyekuwa akishika wadhifa huo kabla ya mabadiliko ya Sekretarieti ya CCM yaliyofanyika hivi karibuni, Asha Abdalaah Juma, wakati wa hafla ya makabidhiano hayo iliyofanyika, leo Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Kitengo cha Uchaguzi kilichopo Idara ya Oganaizesheni, Matson Chizi. Picha na Bashir Nkoromo.
MHANDISI JOANES AWATAKA OLCHORONYORI KUWA MABALOZI WA KUKABILIANA NA
MABADILIKO YA TABIANCHI
-
Na Mwandishi wetu, Simanjiro
HALMSHAURI ya Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, baada ya kupata mradi wa
mpango wa kukabiliana na mabadiliko ya Tabianchi...
1 hour ago

No comments:
Post a Comment