Pamoja na kwamba magari ya aina hii ndiyo hasa yaliyokuwa yakitamba siku za nyuma kwa kutoa huduma ya usafiri katika jiji la Dar na kwingineko, na baadaye yakapotea na hasa kutokana na mabadiliko ya kiulimwengu baada ya kuja magari kama Double Coaster na mengineyo, na kufanya abiria wakawa wakichagua usafiri kwa kupanda gari zuri na la kisasa, lakini huwezi amini usafiri huu bado ungalipo tena hapa hapa jijini Dar es Salaam, ambapo gari hili hutoa huduma ya usafiri kwa kufanya safari zake, kuanzia Mbezi Tang Bovu hadi Goba mwisho na hugombewa kama mpira wa kona kipindi cha asubuhi na jioni na nauli ni Sh. 500 kila kituo.
YANGA SC YAICHAPA COASTAL UNION 1-0 DODOMA
-
MABINGWA watetezi, Yanga SC wameibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya
Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku huu
Uwanja wa Jam...
4 hours ago

No comments:
Post a Comment