Ukosefu wa maegesho maalum kwa jiji la Dar es Salaa, huchangiwa na wajenzi wa majengo mapya ya maghorofa yanayojengwa bila utaratibu wa kujenga eneo la maegesho katika majengo yao kama ambavyo imefanywa katika Ghorofa la Mkapa Tower. Ni vipi iwapo majengo yote tunayoyaona hapa jijini yangezingatia hilo na kujiwekea mkakati wa kutenga maegesho usumbufu wa kama huu ungekuwapo?
USHINDI WA TANZANIA KWENYE TUZO ZA UTALII DUNIANI NI CHACHU YA KUENDELEA
KUTANGAZA MAZAO MAPYA YA UTALII NGORONGORO
-
Na Mwandishi Wetu.
Baada ya Tanzania kutajwa na mtandao wa World Travel Awards kama nchi
inayoongoza kwa Utalii wa Safari mwaka 2025 imekuwa ni chachu ya...
1 hour ago

No comments:
Post a Comment