Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali,katika utekelezaji wa Mpango wa kazi za Wizara hiyo katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar ,(kushoto) Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.
MTI MMOJA, ENEO AMBALO SIMBA HULITUMIA KWA HONEYMOON KRETA YA NGORONGORO.
-
Unaweza kustaajabu lakini ukweli upo hivyo, ukitaka kuwaona simba wakiwa
katika harakati za kuongeza familia fika katika Kasoko ya Ngorongoro eneo
la mt...
3 hours ago

No comments:
Post a Comment