Promota wa pambano la Ubingwa wa WBF Mohamed Bawaziri (katikati) akiwa na mkanda wa ubingwa watakaogombania mabondia, Nassibu Ramadhani (kushoto) na Fransic Miyayusho wakati wa utambulisho wa pambano hilo litakalofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba Desemba 9, mwaka huu. Picha na Super D
AFCON 2025: Vita Mpya Kati ya Klabu za Ulaya na Timu za Taifa za Afrika
-
Mvutano wa muda mrefu kati ya klabu za soka za Ulaya na timu za taifa za
Afrika umezuka tena kuelekea Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) la 2025
nchin...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment