Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Katiba na Sheria, katika utekelezaji wa Mpango wa kazi za Wizara hiyo katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar ,(kushoto) Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif. Picha na Ramadhan Othman,IKULU.
Samia Atuma Ujumbe Mzito Chato Maziko ya Mama yake na Hayati Magufuli
-
Makamu wa Rais, Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, amefunguka kwa kina na
kuonesha ukaribu mkubwa uliokuwepo kati yake na aliyekuwa Rais wa Awamu ya
Tano, Hay...
9 hours ago

No comments:
Post a Comment