Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Jaji wa Mahakama Kuu ya Zanzibar, Abdulhakim Ameir Issa, kuwa Kaimu Jaji Mkuu wa Zanzibar,wakati wa hafla fpi iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.
UKWELI KUHUSU TUME ZA KIJAJI: NI USHAHIDI WA KIHISTORIA UNAOWASHAWISHI
MARAIS KUCHUKUA HATUA KALI ZA KUBADILI MAMBO
-
Uundaji wa Tume za Kijaji nchini Tanzania umekuwa chombo muhimu na
madhubuti cha kisheria kinachotumiwa na Wakuu wa Nchi pale kunapojitokeza
malalamiko ...
6 hours ago

No comments:
Post a Comment