Bao pekee lililofungwa na mshambuliaji Mrisho Ngassa, katika dakika ya 45 ya kipindi cha kwanza, limeiwezesha timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kwenda mapumziko ikiwa inaongoza kwa bao 1-0. Pamoja na bao hilo stars pia wamweza kupata nafasi kadhaa ambazo hawakuweza kuzitumia vyema.
RAIS SAMIA ATUNUKIWA SHAHADA YA UZAMIVU YA HESHIMA RUDN, URUSI LEO
-
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Shahada ya Uzamivu ya Heshima (Honoris
Causa) aliyotunukiwa na Chuo Kikuu cha Urafiki wa Watu wa Urusi- (RUD...
2 hours ago

No comments:
Post a Comment