Wadau hii ni moja ya sehemu maalum kwa kijiwe ama wenyewe huita Baraza la Kahawa, ambapo watu hukutana katika eneo hilo mida ya jioni na kubadilishana mawazo huku wakipata moja moja, lakini si kama ile mlozoea ninyi ya moja baridi moja moto, la hasha, hapa ni kijikombe kidoooogo ndani kikiwa na maji ya rangi nyeusi na ya moto na radha yake iki ni ya uchungu, yaaki kikombe cha Ghahwa. Ok karibuni Baraza la Kahawaha huku niliko mie Unguja, eneo la Mkokotoni.
WATU WANNE MBARONI KWA MAUAJI YA MWANAFUNZI WA IFM
-
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewakamata watuhumiwa wanne
wanaohusishwa na tukio la mauaji ya James Rogers Temba, aliyekuwa
mwanafun...
3 hours ago
.jpg)
No comments:
Post a Comment