Bwana Harusi Mjuni Makubo akiwa katika picha ya Pamoja na Baadhi ya Wapambe wakati wa sherehe ya harusi yao iliyofanyika katika ukumbi wa Mlimani city Jumamosi ya tarehe 1 Desemba 2012.
Bwana Harusi Mjuni Makubo Pamoja na Mkewe wakiwa katika Picha ya Pamoja na Ndugu zake Kabla ya kuingia Ukumbini. Kutoka Kushoto ni Mugisha Msheluzi Makubo akifuatiwa na Mkewe Diana, Mdogo wa bwana harusi Fiona Makubo, Mjuni na Mkewe , Akifutiwa na Mdogo wake bwana Harusi Leoncia Makubo, Mama yake Mjuni Makubo Bi Lydia Makubo na Mdogo wake Lukiza Makubo.
No comments:
Post a Comment