Meneja Mkuu wa Zuku Tanzania, Fadhil Mwasyeba (wa pili kushoto) akibadilishana hati a makubaliano ya kulipia king'amuzi cha Zuku kwa njia ya mtandao na Meneja Matangazo na Masoko wa Kampuni ya SelCom wireless Paypoint, Juma Mgori, wakati wa hafla fupi ya kusainiana mkataba huo iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kurahisisha hudumu hiyo.
CEOrt, IUCN waongoza msukumo wa kueneza suluhisho zinazotumia njia za asili
kukabilina na mabadiliko ya tabia nchi
-
Na Mwandishi Wetu
Arusha, Tanzania – Jukwaa la Wakurugenzi wa Makampuni nchini (CEOrt
Roundtable), kwa kushirikiana na Umoja wa Kimataifa wa Uhifadhi wa
M...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment