Hii ni staili mpya kuezeka Bati? hii haiwezi kutufaa wengine wa jiji hili la Dar kutokana na hali halisi ya maisha ya matamanio na kila mmoja kupenda chake kuwa chake na cha wenzake kuwa chake, nahisi nyumba hii ingekuwa maeneo ya fulani ya hapa Dar, asubuhi wenyeji wangejikuta wanaangaliana na mawingu tu. Nyumba hii imenaswa na kamera ya sufianimafoto eneo la Manzese, Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini-Unguja hivi karibuni.
JAB YAKEMEA UVUNJAJI WA SHERIA ZA AJIRA KATIKA SEKTA YA HABARI
-
*Na Mwandishi Wetu.*
*Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imewasisitiza waajiri kwenye
vyombo vya habari nchini kuzingatia kikamilifu masharti ya...
3 hours ago

No comments:
Post a Comment