Spika wa Bunge la
Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Anne Makinda, akitoa taarifa kwa wabunge (kawapo
pichani) wakati wa kikao cha kwanza cha Bunge kilichoanza leo mjini Dodoma kuhusu kuundwa kwa kamati itakayokwenda mkoani Mtwara
kusikiliza maoni ya wananchi wa mkoa huo kuhusu tatizo la suala la gesi.
Mbunge wa Vunjo, Augustine Mrema (kulia) na Mbunge wa
kuteuliwa (NCCR- MAGEUZI) James Mbatia, wakifuatilia masuala mbalimbali Bungeni leo mjini Dodoma.
Baadhi ya wabunge
wakifuatilia maswali na majibu katika kikao cha mkutano wa kumi mjini Dodoma
leo.
Naibu Waziri Mawasiliano,Sayansi na Teknolojia , January
Makamba, akijibu hoja za wabunge zinazohusu wizara yake Bungeni mjini Dodoma leo.
Baadhi ya wabunge
wakisalimiana baada ya kuahirishwa kwa
kikao cha Bunge leo mjini Dodoma.
Mbunge wa(
Monduli )Edward Lowassa (kulia) akimsikilza Mbunge wa Bariadi Mashariki, John
Cheyo, katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma leo, Picha na Mwanakombo
Jumaa-MAELEZO.
No comments:
Post a Comment