Kocha mkuu wa Yanga ya jijini Dar es Salaam, Tanzania ametaja Kikosi kamili cha kwanza kitakachoshuka dimbani jioni hii katika mchezo wa kirafiki kati yao na Denizlispor ya Uturuki. Kama ifuatavyo:- Golini aaanza Ally Mustafa 'Bartez', Beki wa kushoto ni Jum Abdul, wa kulia ni Mbuyu Twite, No 4 na 5 ni Calvin Yondan na Nadir Haroub 'Canavaro' Viungo wa kati ni Athuman Idd 'Chuji', Simon Msuva na Nurdin Bakari, Juu ni Didier Kavumbangu, Hamis Kiiza na Haruna Niyonzima. Mungu ibariki Dar Young Africans amina.
Wafanyabiashara Wapata Mbinu za Ukuaji Kupitia NMB Business Club
-
Benki ya NMB imeendelea kuimarisha huduma kwa wafanyabiashara kupitia NMB
Business Club, jukwaa linalowapa wateja elimu ya fedha, teknolojia na fursa
mba...
7 hours ago

No comments:
Post a Comment