Winga wa Azam Fc, Uhuru Seleman (kulia) akijaribu kumhadaa beki wa Tusker ya Kenya, wakati wa mchezo wa Fainali ya Kombe la Mapinduzi unaoendelea kwenye Uwanja wa Aman, mjini Zanzibar hivi sasa, ambapo tayri kipindi cha pili kimeanza huku timu zote zikiwa bado hazijafungana.
TANZANIA YAJIPANGA KUWA KITOVU CHA UZALISHAJI WA DAWA AFRIKA, YAWAALIKA
WAWEKEZAJI WA CHINA
-
Na John Mapepele, Wu hani - China
Serikali ya Tanzania imesisitiza dhamira yake ya kujenga sekta imara ya
viwanda vya dawa na kuifanya nchi kuwa kitovu cha...
2 hours ago

No comments:
Post a Comment