Mwenyekiti wa asasi ya siasa ya Ulinzi na Usalama ya nchi za Jumuiya ya maendeleo ya nchi kusini mwa Afrika (SADC) Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wengine ambao ni wajumbe wa asasi hiyo wakati wa mkutano wa siku moja uliofanyika ikulu jijini Dar es Salaam jana.Wapili kushoto ni Rais Jackob Zuma wa Afrika ya Kusini,Rais Armando Emilio Guebuza wa Msumbiji(Watatu kushoto),Rais Hifikepunye Pohamba wa Namibia(kulia) na wa kwanza kushoto ni Katibu mkuu wa SADC Dr.Tomaza Salomao(picha na Freddy Maro).
WAZIRI MAVUNDE KUWACHUKULIA HATUA MAAFISA MADINI WANAOSABABISHA MIGOGORO
-
Dodoma | Januari 22, 2026
Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde, amesema Serikali haitasita
kuwachukulia hatua kali Maafisa Madini Wakazi wa Mikoa a...
57 minutes ago
No comments:
Post a Comment