Taifa Stars imefika salama jijini Addis Ababa tayari kwa mechi ya kirafiki dhidi ya wenyeji Ethiopia. Mechi hiyo inataraijiwa kuchezwa kesho (Januari 11) Addis Ababa Stadium kuanzia saa 11.30 jioni ambpo majira ya ( Tanzania na Ethiopia hatupishani saa). Stars imefikia katika Hoteli Hilton. Itafanya mazoezi leo jioni katika uwanja wa Addis Ababa kwa saa moja kuanzia saa 11.30 jioni.
RAIS DKT. SAMIA KUONGOZA ZOEZI LA UPANDAJI MITI ZANZIBAR KUADHIMISHA SIKU
YAKE YA KUZALIWA
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu
Hassan, anatarajiwa kuongoza zoezi maalum la upandaji miti litakalofanyika
tare...
1 hour ago
.jpg)
No comments:
Post a Comment