Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein,(kushoto) akisalimiana na Mkurugenzi wa Kimataifa wa Mfuko wa Maendeleo ya Kilimo Perin L.Saint Ange,wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar, leo kwa ajili ya mazungumzo akiwa na ujumbe wake.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.
MASLAHI YA TAIFA KWANZA: MAPINDUZI YA KIFIKRA NA KIUCHUMI KATIKA KULINDA
RASILIMALI
-
Katika ulimwengu wa sasa unaotawaliwa na ushindani mkali wa kidiplomasia na
kiuchumi, Tanzania na mataifa mengine ya Afrika yanapita katika kipindi cha...
22 minutes ago
No comments:
Post a Comment