Hili ni moja ya bango la tangazo linalozuia kuegesha gari, au magari katika eneo hili lililopo karibu na Ofisi za Bunge, jijini Dar es Salaam, lakini kwa sasa imekuwa ni tofauti kwani si gari moja ambalo labda waweza kusema limeegeshwa kwa bahati mbaya, la hasha ila eneo hili limegeuka kuwa maegesha ya magari tu kwa muda wote, sasa kama hivyo ndivyo Tangazo hili bado lina maana kuwapo neo hili?
Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Aongoza Utoaji wa Elimu ya Hifadhi ya Jamii katika
Soko la Tegeta Nyuki
-
Na Mwandishi Wetu,
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Bw. Masha
Mshomba, amesema hakuna sababu kwa mwananchi aliyejiajiri k...
2 hours ago

nahisi tangazo limeisha muda wake.
ReplyDelete