Hili ni moja ya bango la tangazo linalozuia kuegesha gari, au magari katika eneo hili lililopo karibu na Ofisi za Bunge, jijini Dar es Salaam, lakini kwa sasa imekuwa ni tofauti kwani si gari moja ambalo labda waweza kusema limeegeshwa kwa bahati mbaya, la hasha ila eneo hili limegeuka kuwa maegesha ya magari tu kwa muda wote, sasa kama hivyo ndivyo Tangazo hili bado lina maana kuwapo neo hili?
MASLAHI YA TAIFA KWANZA: MAPINDUZI YA KIFIKRA NA KIUCHUMI KATIKA KULINDA
RASILIMALI
-
Katika ulimwengu wa sasa unaotawaliwa na ushindani mkali wa kidiplomasia na
kiuchumi, Tanzania na mataifa mengine ya Afrika yanapita katika kipindi cha...
21 minutes ago

nahisi tangazo limeisha muda wake.
ReplyDelete