Habari za Punde

*UNIQUE MODEL 2012/2013 CATHERINE MASUMBIGANA KUIBUKIA LADY IN RED FEBRUARI 9.


 Mwanamitindo aliyeibuka na taji la Unique model of the year 2012/2013 Catherine masumbigana, anatarajia kuonekana kwa mara kwanza katika runway ya Lady in Red, baada ya kunyakua taji hilo mwishoni mwa mwaka jana.
 Mwanamitindo huyo, ndiye atakayekuwa maalum kwa kupanda jukwaani na vazi la LADY IN RED,  usiku wa tarehe 9 february.

 Mipango na mikakati ya mwanamitindo huyu ni kusonga mbele katika tasnia ya mitindo na kuhamasisha tasnia ya mitindo kwa wanamitindo wachanga kukua siku hadi siku katika sanaa. 

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.