Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa,Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo kusini Mwa Afika SADC Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (wa pili kulia) akiwa pamoja na Rais wa Madagascar Andry Rajoelina (kulia),Rais Wa Namibia Hifikepunye Pohamba (kushoto) na Rais wa Msumbiji Armando Guebuza, wakati wa kikao cha Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama cha SADC, kilichofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi. Picha na Freddy Maro
EQUITY BANK YAUNGA MKONO MAENDELEO YA BANDARI YA FUMBA NA UCHUMI WA ZANZIBAR
-
*Na Mwandishi Wetu.*
*Zanzibar. Equity Group, kwa kushirikiana na Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji
Zanzibar (ZIPA), imeongoza ujumbe wa viongozi na wadau kutoka...
3 hours ago
No comments:
Post a Comment