Mwanamuziki chipukizi lakini mkongwe kwa umri, Juma Kassam, ambaye pamoja na 
Muziki pia ni muigizaji na mwanamichezo hususani mchezo wakujihami 
KARATE.
Sikiliza wimbo wake unaojulikana kwa jina la "KARATE" future-ring 
Juma Jazz na uone jinsi alivyokuja na muelekeo mpya zaidi ya vile 
tulivyozoea ya nyimbo zenye ujumbe wa mapenzi.
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment