Mtoto, Janet Alumwene, akisaidiwa na mama yake Joyce Sena, kukata keki wakati wa sherehe yake ya kuzaliwa kutimiza miaka miwili iliyofanyia nyumbani kwao Kigamboni jijini Dar es Salaam hivi karibuni.
Mtotot, Janet Alumwene, akimlisha keki mama yake mdogo, Matrida Sena, wakati wa sherehe yake ya kuzaliwa ya kutmiza miaka 2 iliyofanyika hivi karibuni nyumbani kwao Kigamboni Dar es Salaam.
Bwana Charles Karogwa, akimvisha pete ya ndoa mkewe Rehema, wakati wa ibada ya ndoa yao iliyofanyika hivi karibuni katika kanisa la Anglikana Msasani jijini Dar es Salaam, na kufuatiwa na sherehe kubwa iliyofanyika katika ukumbi wa Chuo cha maji Ubungo Dar es Salaam.
''UWE MWAMINIFU KWANGU'' ‘ Bwana Amos, akimvika pete ya uchumba mchumba wake Sesilia Alexander, wakati wa hafla ya kumvisha pete iliyofanyika hivi karibuni mbezi beach Dar es Salaam. nyumbani kwa msichana.
No comments:
Post a Comment