Habari za Punde

*NBC YADHAMINI HAFLA YA MFUKO WA NSSF MJINI ARUSHA

 Waziri wa Kazi na Ajira, Gaundencia Kabaka (kulia) akisalimiana na Kaimu Mkuu wa Idara ya Wateja Wakubwa na Uwekezaji wa Benki ya NBC, Minnie Adolf Kibuta katika hafla ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na benki hiyo kwa washiriki wa mkutano wa tatu wa Wadau wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha juzi. Katikati ni Mwenyekiti wa Bodi ya NSSF, Aboubakar Rajab.
 Waziri wa Kazi na Ajira, Gaundencia Kabaka (katikati) akizungumza katika hafla ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na benki ya NBC kwa washiriki wa mkutano wa tatu wa Wadau wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha juzi.
 Msanii wa muzii wa izazi kipya Naseeb Abdul ‘Diamond’ akikonga nyoyo za wadau wa NSSF katika mkutano huo jijini Arusha juzi.
 Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii(NSSF), Crescentius Magori (kulia) akizungumza na  Kaimu Mkuu wa Idara ya Wateja Wakubwa na Uwekezaji wa Benki ya NBC, Minnie Adolf Kibuta katika hafla ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na benki hiyo kwa washiriki wa mkutano wa tatu wa Wadau wa NSSF kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha juzi.
 Kaimu Mkuu wa Idara ya Wateja Wakubwa na Uwekezaji wa Benki ya NBC, Minnie Adolf Kibuta (katikati) akipozi kwa pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa NBC katika hafla hiyo jijini Arusha juzi.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.