Askari Poilisi, wakikatiza katika mitaa ya Posta karibu kabisa na Ofisi za Mkurugenzi Mkuu wa Mashitaka DPP, kulinda amani na kujiandaa kuwakabili waandamanaji wanaodaiwa waislam waliopanga kuandamana hadi katika Ofisi hizo leo baada ya swala ya Ijumaa wakiwa na lengo la kushinikiza kuachiwa kwa Sheikh Ponda. Askari hao wamelazimika kutumia mabomu ya machozi ili kuwatawanya waandamani hao ambapo baadhi yao wanashikiliwa na polisi kwa kukaidi amri iliyotolewa na Jeshi la Polisi ya kutoandamana.
Bandari ya Dar es Salaam: haijauzwa imekodishwa kwa tija
-
Msemaji Mkuu wa Serikali, Ndugu Gerson Msigwa, ametoa ufafanuzi mzito na wa
kina mbele ya vyombo vya habari leo katika Bandari ya Dar es Salaam,
akion...
7 hours ago

No comments:
Post a Comment