Habari za Punde

*RAIS KIKWETE AZINDUA VITAMBULISHO VYA TAIFA JIJINI DAR

 Rais Jakaya Kikwete akiangalia Kitambulisho chake cha Taifa baada kuzindua wa mfumo wa usajili na utambuzi wa watu kitaifa na utoaji wa vitambulisho hivyo  uliofanyika  leo  katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.