Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, na kizungumza na
Kamati ya ugawaji Mipira kutoka mradi wa "ONE WORLD FOOTBALL FOR
AFRIKA",chini ya Mwenyekiti wake Bi.Sharifa Khamis Salim,pia akiwa
Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Michezo,hafla hiyo ilifanyika leo Ikulu Mjini
Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akipokea mpira
ukiwa ni miongoni mwa mipira kutoka kwa Mwenyekiti wa Baraza la Taifa
la Michezo Bi.Sharifa Khamis Salim,alipofika Ikulu kukabidhi mipira
hiyo pamoja na kamati ya ugawaji mipira hiyo,kutoka mradi wa "ONE
WORLD FOOTBALL FOR
AFRIKA",hafla hiyo ilifanyika leo
Ikulu Mjini Zanzibar.
Katibu wa Kamati ya Ugawaji wa Mipira ya Mradi
wa "ONE WORLD FOOTBALL FOR AFRIKA",
Khamis Abdalla Said,akitoa maelezo mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,wakati kamati hiyo ilipofika Ikulu
Mjni Zanzibar kukabidhi Mipira kwa Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,leo.Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu.
No comments:
Post a Comment