Habari za Punde

*SKYLIGHT BAND ILIVYOPAGAWISHA VALENTINE DAY NEW MAISHA CLUB DAR

Kundi la Skylight Band likicheza sebene kwa style ya aina yake walipopiga show ya kukata shoka usiku wa sikukuu ya wapendanao Valentine day katika ukumbi wa Maisha Club.
Rappa Joniko Flower akiimba huku akishow love na familia ya Skylight Band katika usiku wa wapendanao uliofanyika katika ukumbi wa New Maisha Club.
Mashabiki wapya wa Skylight Band wakishow love katika siku ya wapendao kwenye ukumbi wa New Maisha Club.
Wadada warembo wakijimwaga kwa raha zao kwenye ukumbi wa New Maisha Club.
Aneth Kushaba AK 47 akiimba kwa hisia kuwapa raha mashabiki wa Skylight Band kwenye show ya Valentines Day iliyofanyika katika ukumbi wa New Maisha Club.
Bata likiendelea kulaki huku Skylight Band ikiporomosha burudani ya nguvu New Maisha Club.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.