Habari za Punde

*VURUGU BUNGENI ZASABABISHA KUAHIRISHWA KIKAO CHA BUNGE

 mnadhimu mkuu wa kambi ya upinzani Tundu Lissu, akitoka ndani ya ukumbi wa Bunge....
 Wabunge wa upinzani wakisimama kupinga hoja wakati wa kikao cha Bunge kikiendelea, mjini Dodoma leo.
 Wabunge wa upinzani wakisimama wote kwa pamoja ukumbini.
 Naibu Spika Job Ndugai (kulia) akijadiliana jambo katika makabrasha na Mbunge wa Aurmeru Mashariki Joshua Nassari, baada ya kuahurishwa kwa kikao cha Bunge baada ya kutokea kutoelewani ukumbini humo, wakati wabunge wa upinzani walipokuwa wakipinga hoja.
 TUNDU lISSU na Mchungaji Msigwa (kushoto)
Naibu Spika Job Ndugai (kushoto) akijadilia jambo na Tundu Lissu, nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma, leo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.