Habari za Punde

*LIGI KUU YA GRAND MALT ZANZIBAR BANDARI YAICHAPA FALCON 2-0

 Mchezaji wa Falcon (kulia) akimkwatua mshambuliaji wa Bandari. Katika mchezo huo wa Ligi Kuu ya Grand Malt Zanzibar uliochezwa kwenye Uwanja wa Aman jana, Bandari ilishinda maba 2-0 dhidi ya Falcon. Picha zote na Martin Kabemba.
 Wachezaji wa Bandari na Falcon wakigombea mpira kwenye pambano lao la ligi kuu ya Grand Malt ya Zanzibar kwenye uwanja wa Amaan jana.

Mlinzi Rashid Omar wa Bandari (kulia) akimzuia mshambuliaji wa Falcon, Mbarouk Marshed.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.