Habari za Punde

*LIGI KUU YA GRANDMALT ZANZIBAR MALINDI YAICHAPA MUNDU 2-1

 Wachezaji wa Malindi, Abdala Said (no.5) na Amour Suleiman (katikati) wakimdhibiti Thabit Khamis wa Mundu, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Grandmalt Zanzibar uliochezwa jana kwenye Uwanja wa Mao Tse Tung mjini Zanzibar. Katika mchezo huo Timu ya Malindi ya Zanzibar huku ikiwa pungufu kutokana na mchezaji wake mmoja kulimwa kadi nyekundu, iliweza kupata ushindi wa mabao 2-1 katika dakika za mwanzo wa mchezo.
Abdalla said wa Malindi (kushoto) na Thabit Khamis wa Mundu wakichuana kuwania mpira.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.