Habari za Punde

*MKURUGENZI MKUU WA WIPO FRANCIS GURRY AWASILI NCHINI TANZANIA KUHUDHURIA MKUTANO WA SIKU MBILI UNAONZA KESHO

Mkurugenzi Mkuu wa World Interllectual Property Organization (WIPO) Francis Gurry na Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Dkt. Alberic Kacou wakielekea katika chumba maalum cha wageni maalum kwenye Uwanja huo.
Mkurugenzi Mkuu wa World Interllectual Property Organization (WIPO) Francis Gurry akibadilishana mawazo baadhi ya maafisa mbambali wa Wizara.
Mkurugenzi Mkuu wa World Interllectual Property Organization (WIPO) Francis Gurry akizungumza na mwenyeji wake Mkurugenzi wa Uhamasishaji Biashara na Masoko wa Wizara ya Viwanda na Biashara Odilo Majengo.
Mkurugenzi Mkuu wa World Interllectual Property Organization (WIPO) Francis Gurry katika tete a tete na Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa Dkt. Alberic Kacou.
Mkurugenzi Mkuu wa World Interllectual Property Organization (WIPO) Francis Gurry akiteta jambo na Mkurugeni Mkazi wa Umoja wa Mataifa Dkt. Alberic Kacou wakati akijiandaa kuondoka katika Uwanja wa ndege. Kushoto ni Mkurugenzi wa Uhamasishaji Biashara na Masoko wa Wizara ya Viwanda na Biashara Odilo Majengo.
Mkurugenzi Mkuu wa World Interllectual Property Organization (WIPO) Francis Gurry akiingia kwenye gari maalum kuelekea hotelini.
Mkurugenzi Mkuu wa World Interllectual Property Organization (WIPO) Francis Gurry akiwasili hotelini na kulakiwa na baadhi ya maofisa wa WIPO.
Mkurugenzi Mkuu wa World Interllectual Property Organization (WIPO) Francis Gurry akipewa maelekezo machache kuhusiana na taratibu za mkutano wa kujadili Changamoto za Maendeleo katika Bara la Afrika katika mkutano nchini Tanzania.  Picha na Zainul Mzige wa Mo Blog

Mkurugenzi Mkuu wa World Interllectual Property Organization (WIPO) Francis Gurry awasili nchini Tanzania leo kuhudhuria mkutano utakao zungumzia pamoja na mambo mengine Changamoto za Maendeleo katika Bara la Afrika.
Katika Mkutano huo wa siku mbili unaotarajiwa kuanza kesho pia wadau watazungumzia nafasi ya WIPO katika Kuchochea Maendeleo barani Afrika.
Mkutano huo utakaohitimishwa kesho kutwa utamalizika kwa kwa kuwa na kipindi cha majadiliano na kutoa maoni, ambapo wadau watatoa mitazamo yao kuhusiana na ajenda zilizowasilishwa na kutafuta mwelekeo wa pamoja.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.