Habari za Punde

*RAIS KIKWETE AZINDUA TAARIFA YA UTAFITI WA VIASHIRIA VYA UKIMWI NA MALARIA MWAKA 2012

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akinyanyua juu baada ya  taarifa ya utafiti wa viashiria vya ukimwei na malaria mwaka 2012 jana katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam. Kulia kwake ni Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda',  Kushoto kwake ni Mkurugenzi wa Tume ya Kudhibiri Ukimwi (TACAIDS) Mama Fatma Mrisho.
 Wadau kutoka sekta mbalimbali wakiangalia matangazo ya kupiga vita UKIMWI na Malaria wakati wa uzinduzi rasmi wa taarifa ya utafiti wa viashiria vya ukimwei na malaria mwaka 2012 jana katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam.
 Meza kuu ikimsikiliza kwa makini Mkurugenzi wa Tume ya Kudhibiri Ukimwi (TACAIDS) Mama Fatma Mrisho akisoma taarifa ya utafiti wa viashiria vya ukimwei na malaria mwaka 2012 jana katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakati wa kuzindua rasmi  taarifa ya utafiti wa viashiria vya ukimwei na malaria mwaka 2012 jana katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.