Mawakili wanaomtetea Mtuhumiwa wa mauaji ya Padri , Evarist Mushi wa Kanisa Katoliki parokia ya minara miwili mjini Zanzibar, Omar Mussa Makame (35) wakili Abdalla Juma (kulia) na Rajab Abdalla wakipitia majalada kabla ya kutajwa kwa kesi ya mteja wao katika mahakama Kuu Vuga mjini Zanzibar. Picha zote kwa hisani ya Francis Dande
ASHIKILIWA KWA TUHUMA ZA KUMUUA MTOTO WA JIRANI YAKE
-
JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Furaha Mwile Nyelele, mkazi wa
Kijiji cha Shilanga kwa tuhuma za mauaji ya mtoto wa jirani yake aliyekuwa
Mwa...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment