Habari za Punde

*BONDIA AMOUR MZUNGU AMGALAGAZA JOSEPH MARWA KWA POINTI

Bondia Amour Mzungu (katikati) akipambana na Josefu Marwa wakati wa mpambano wao wa kirafiki uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita kushoto ni mwamuzi, Ibrahim Kamwe. Katika pambano hilo Mzungu alishinda kwa pointi.
Mwamuzi wa mchezo huo,  Ibrahimu Kamwe, akimnyoosha mkono, Bondia Amour Mzungu, baada ya kutangazwa kuwa mshindi wa mpambano huo dhidi ya Josefu Marwa.

Bondia Martin Shekivuli (kushoto) akipambana na Abdull Ndosa wakati wa mpambano wao wa kirafiki ulifanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika pambano hilo mabondia hao walitoka droo.

Diwani wa Kata ya Bwilingu Chalinze Bagamoyo,Ahmed Karama Nassar (katikati) akizungumza mbele ya mabondia Issa Omari (kushoto) na Shabani Madilu kabla ya mpambano wao.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.