Habari za Punde

*HARAKATI ZA KUHAMASISHA MCHEZO WA NGUMI MKOA WA PWANI ZAANZA VYEMA

Bondia Mwaite Juma, wa Chalinze (kushoto) akimwangalia bondia Mussa Ali, baada ya kumchapa konde zito na kwenda chini, wakati wa mchezo wa masumbwi ulioandaliwa maalum kwa kuhamasisha mchezo huo kwa Mkoa wa Pwani, uliochezwa Chalinze, juzi. 
Diwani wa Kata ya Bwilingi Chalinze, Ahmed Kalama Nassar, akizungumza kabla ya mpambano wa mwisho kwa ajili ya kuhamasisha ngumi katika kata hiyo.
Bondia Amos Thomas  (kushoto) akioneshana umwamba na Andrew Joseph, wakati wa mpambano wa kuamasisha mchezo wa masumbwi Chalinze Mkoa wa pwani  Juzi. Mabondia hao walitoka droo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.