Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Oman nchini Tanzania Mhe Yahya bin Moussa al Bakari ofisini kwake Ikulu jijini Dar es salaam leo. Mazungumzo hayo yalihusu mambo mbalimbali ya ushirikiano baina ya nchi mbili hizi. PICHA NA IKULU
Serikali Yaendelea Kuwezesha Wafanyabiashara Ndogondogo Kupitia Mikopo
Nafuu ya NMB
-
Na Avila Kakingo, Michuzi Tv
SERIKALI imeendelea kuchukua hatua madhubuti za kuwawezesha wafanyabiashara
ndogondogo, hususan vijana na wanawake, kwa kutoa...
39 minutes ago

No comments:
Post a Comment